HOPE NI god FATHER | BY JOHN MSAFIRI

Dedication to Hustlers with No Backdoor Pass

Kwa streets za Nai hadi border za ushago,
Wasee wanahustle na ndoto kwa mfuko.
Kazi ni kuapply, inboxs full na “we’ll call,”
But siku zinasongea, na bado no call at all.
Msee anakuambia, “toa ka kitu kidogo,”
Au boss wa HR anataka jicho red na ndogo ndogo.
Unaambiwa “networking” ni kulala kwa bed,
Ama “connections” ni tribe ama uncle wa State House head.
Lakini we uko tu na God, na morals kama luku,
No bribes, no vibes za kuforce destiny kukupenda huku.
No godfather wa parliament ama cousin wa CEO,
Just faith kama mustard seed – yaani bado una grow.
Watu wanakucheka, "Wewe ni saint ama fool?"
"Utazeeka ukihope, job haiji na cool!"
But wewe unajua, ni better kulala hungry but clean,
Kuliko kushiba kwa dhambi, ukiliwa kwa every sin.
Sisi wa “no shortcut,” bado tuko game,
Tunaandika CVs na barua with no shame.
Tunapiga interviews with confidence ya lion,
Hata kama mwisho ni “We regret” – bado tunarion.
Sababu Hope ni God – si ref ya system,
Anakuinua bila file ya corruption or tribal prism.
Wale wa “toa kitu,” wanachoma kama charcoal,
But God huja na miracle bila deadline ya protocol.
So kwa wasee hawatoi favors for favours,
Wenye kila morning huvaa armor ya prayers,
Hold on, maana breakthrough ya mtaa ni near,
Na God hawezi skip believer kwa fear.
Keep the faith, hold your lane, usiwahi go rogue,
Hope ni godfather, na yeye hawezi log off.
™©•® Johπ PoetKeyα Msαfiri 2025
JOHN MSAFIRI
Spoken Word Poet | Media Relations Concierge | Strategic PR & Communications Specialist | Seasoned Writer | Thespian | Playwright | Copyrighter |

Comments

Popular posts from this blog

IS IT A MUST TO BE ACTIVE IN CHURCH TO BE HELPED?

WORLD WIDOWS DAY | Not Just Left Behind: The Modern Widow Has WiFi, Wisdom, and Woke Energy

Banned, Abandoned, and Back: Paul Pogba’s Inspiring Return to Football